Kapoeta State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Ngoma za asili ndani ya jimbo la Kapoeta, Sudan Kusini


Kapoeta State
Mahali paKapoeta State
Mahali paKapoeta State
Mahali pa Kapoeta katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Kapoeta[1]
Idadi ya kaunti 4
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Louis Lobong Lojore
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 504,720

Imegawanyika katika kaunti 4: Budi County, Kapoeta East County, Kapoeta North County na Kapoeta South County.

Tanbihi hariri

  1. "Town Council Upgraded Into Municipality In Namorunyang". Gurtong. 11 February 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-23. Iliwekwa mnamo 14 August 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kapoeta (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.