Karim Adeyemi

Mchezaji mpira wa Ujerumani (aliyezaliwa 2002)

Karim-David Adeyemi (alizaliwa 18 Januari 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama beki au kama winga katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo

hariri
  1. "Karim Adeyemi". worldfootball.net (kwa Kiingereza). 2023-02-20. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karim Adeyemi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.