Kasamwa
Kasamwa ni kata ya Wilaya ya Geita Mjini katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Msimbo wa posta ni 30103.[1]
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 18,751 [2]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 24,461 waishio humo.[3] Kwa asilimia kubwa hukaliwa na kabila la Wasukuma.
Katika kata ya Kasamwa kuna shughuli mbalimbali za kiuchumi zikifanyika zikiwemo za ufugaji, kilimo, biashara, uchimbaji madini na utalii wa ndani na nje ya nchi kwani watu wengi hupenda kwenda kutalii katika vilele vya Milima ya Nyabubelele na Bungwe.
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk 226
- ↑ Sensa ya 2012, Geita Region – Geita District Council
Kata za Mji wa Geita - Mkoa wa Geita - Tanzania | ||
---|---|---|
Bombambili | Buhalahala | Bulela | Bung'wangoko | Ihanamilo | Kalangalala | Kanyala | Kasamwa | Mgusu | Mtakuja | Nyanguku | Nyankumbu | Shiloleli |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |