Katarzyna Kiedrzynek

Katarzyna Kiedrzynek (alizaliwa 19 Machi 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama golikipa katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake nchini Poland. [1][2]

Katarzyna Kiedrzynek


Marejeo hariri

  1. "Foot Feminin : PSG to face Frankfurt in the WCL Final". French Football Weekly. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-25. Iliwekwa mnamo 2022-05-08. 
  2. "UEFA Women's Champions League 2015 - Paris-Wolfsburg – UEFA.com". Uefa.com. 26 April 2015.  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katarzyna Kiedrzynek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.