Kate Clinton
Mcheshi wa Marekani
Kate Clinton (alizaliwa 9 Novemba 1947) ni mchekeshaji wa Marekani aliyebobea katika kutoa maoni ya kisiasa kwa mtazamo wa jamii ya wapenzi wa jinsia moja.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "GLBTQ >> arts >> Clinton, Kate". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-30. Iliwekwa mnamo 2008-12-29.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kate Clinton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |