Katie McCabe

Mchezaji wa kandanda wa chama cha Ireland

Katie Alison McCabe (alizaliwa 21 Septemba 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ireland anayecheza klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza(WSL)[2] na nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland, akicheza sana beki wa kushoto, anaweza pia kucheza kama winga wa kushoto na kiungo wa kushoto.[3]

Katie McCabe dhidi ya Wolfsburg akiwa Emirates mnamo 2023

Marejeo

hariri
  1. "UEFA Women's Champions League 2021/2022: Booking List before Quarter-finals, 2nd leg" (PDF). UEFA. 24 Machi 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 26 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 26 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Katie McCabe". www.arsenal.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-23.
  3. "China PR vs. Republic of Ireland". Women Soccerway. 22 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katie McCabe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.