Katiu ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Tahanea. Eneo la kisiwa ni 10 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Toini. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 250. Watu wakaao kisiwani kwa Katiu huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Katiu
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.