Kwa kata nyingine yenye jina hilo, tazama Katumba (Nsimbo).

Katumba ni jina la kata ya Wilaya ya Rungwe katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 10,965 waishio humo. [1]

Eneo la Katumba wilayani Rungwe ni moja kati ya maeneo yanayokua kwa kasi sana. Hapo Katumba ndio kuna kiwanda cha Chai cha Rungwe Tea Growers Asssociation(WAKULIMA). Kitongoji hiki sasa hivi kina vijana wengi wanaofanya biashara mbali mbali.Hii imesaidiwa kwa kuwahapo Katumba ni moja wapo ya njia panda kuu ya kuelekea Mwakaleli. Njia kuu nyingine ya kuelekea milima ya Kyejo na Masoko ipo Tukuyu mjini. Hivyo basi pamoja na biashara ni sehemu kubwa sana kwa wasafiri wengi wanaoelekea kandokando ya mlima Rungwe na Kyejo.

Marejeo hariri

  1. Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-06-23.
  Kata za Wilaya ya Rungwe - Mkoa wa Mbeya - Tanzania  

Bagamoyo | Bujela | Bulyaga | Ibighi | Ikuti | Ilima | Iponjola | Isongole | Itagata | Kawetele | Kinyala | Kisiba | Kisondela | Kiwira | Kyimo | Lufingo | Lupepo | Makandana | Malindo | Masebe | Masoko | Masukulu | Matwebe | Mpuguso | Msasani | Ndanto | Nkunga | Suma | Swaya


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Katumba (Rungwe) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.