Kawagarbo ni mlima wenye kimo cha m 6,740 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Kawagarbo

Uko China na haujapandwa kwa sababu ni mtakatifu kwa Wabuddha wa Tibeti.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kawagarbo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.