Keep Their Heads Ringin'
"Keep Their Heads Ringin'" (wakati mwingine hutajwa kimakosa kama Ring Ding Dong) ni jina la kutaja single ya Dr. Dre iliyochukuliwa kutoka katika kibwagizo cha filamu ya Friday.[1] Ijapokuwa albamu ilitolewa kupitia Priority Records, Death Row Records bado wanamiliki nakala kuu ya wimbo huu. Wimbo uliingia nafasi ya 10 kwenye chati za Billboard Hot 100 na ulitunukiwa dhahabu na RIAA mnamo tar. 10 Mei 1995 kwa mauzo zaidi ya 500,000.
“Keep Their Heads Ringin'” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Dr. Dre kutoka katika albamu ya Friday | |||||
B-side | "Take a Hit" by Mack 10 | ||||
Imetolewa | 7 Machi 1995 | ||||
Muundo | CD single, CD maxi, 12" single | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | West Coast Rap | ||||
Urefu | 5:06 | ||||
Studio | Priority | ||||
Mtunzi | Angie Stone, G. Chisholm, C. Cooks, A. Young, James E. Anderson, S. Robinson, S. Anderson | ||||
Mtayarishaji | Dr. Dre na Sam Sneed | ||||
Mwenendo wa single za Dr. Dre | |||||
|
Pia imefikia nafasi ya kwanza kwenye chati za Hot Rap Tracks huko nchini Marekani. Wimbo umetia maneno ya "Funk You Up" wa The Sequence kutoka katika single yao ya mwaka wa 1980 iliyotolewa chini ya Sugar Hill. Wimbo pia umeonekana kwenye Death Row Greatest Hits iliyotolewa mnamo mwaka wa 1996. Kitangulizi cha "Hey. Whatup?" kimefanywa na Dr. Dre wakati kiendelezo cha kifunguzi chenye muziki kuna KRS-One anasema nembo ya biashara yake kwa zogo "Buck, buck, buck".
Matoleo tofauti
haririKuna toleo lingine la wimbo ambalo linaweza kupatikana kwenye Death Row Greatest Hits na albamu ya kompilesheni ya Death Row Dayz, ambapo Dr. Dre ametumia mistari hii:
Just chill, listen to the beats I spill
I use Crest, so ain't no cavity creeps in my grill
Badala ya toleo ambalo linatumika zaidi la:
Just chill, listen to the beats I spill
Keepin' it real, enables me to make another mill' [mill' is short for million]
Muziki wa video
haririMuziki w video ulitayarishwa na F. Gary Gray na umechukua nafasi kwenye banda la ndege, ndani ya Convair 880, kukiwa na Dr. Dre, na kundi lake likishika-hatamu usimamizi na udhibiti wa mwendendo wa ndege. Video inashikisha wanachama kadhaa wa kwenye filamu ya Friday ikiwa ni pamoja na Chris Tucker, Faizon Love, na Nia Long. Video inaishia na Chris Tucker na Faizon Love wanachukua ndege na kupaa nayo wakikimbia mapolisi. Chris Tucker anasema "I'm on probation, I can't go back to jail" anakumbukuia uhusika wa Smokey ambaye alikuwa na matata ya kisheria kwenye Friday.
Orodha ya nyimbo
hariri- CD maxi / 12" maxi
- "Keep Their Heads Ringin'" (LP version) — 5:01
- "Keep Their Heads Ringin'" (instrumental) — 4:57
- "Take a Hit" (by Mack 10) (LP version) — 4:34
- "Take a Hit" (by Mack 10) (instrumental) — 4:34
- CD single
- "Keep Their Heads Ringin'" (LP version) — 5:01
- "Take a Hit" (by Mack 10) (LP version) — 4:34
Chati
hariri
Nafasi iliyoshikahariri
|
Chati za mwishoni mwa mwakahariri
Thibitishohariri
|
Marejeo
hariri- ↑ King, Alex P. (2004). Hit-parade — 20 ans de tubes (kwa French). Paris: Pascal. uk. 338. ISBN 2-35019-009-9.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 "Keep Their Heads Ringin'", in various singles charts Lescharts.com (Retrieved 12 Januari 2009)
- ↑ 3.0 3.1 "Single top 100 over 1995" (PDF) (kwa Dutch). Top40. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (pdf) mnamo 2011-12-06. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2010.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Dr.Dre singles, German Singles Chart" (kwa German). musicline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-08. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ UK Singles Chart Chartstats.com (Retrieved 12 Januari 2009)
- ↑ 6.0 6.1 6.2 6.3 Billboard Allmusic.com (Retrieved 12 Januari 2009)
- ↑ 1995 French Singles Chart Disqueenfrance.com Ilihifadhiwa 7 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. (Retrieved 30 Januari 2009)
- ↑ "Billboard Top 100 - 1995". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-15. Iliwekwa mnamo 2010-08-27.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20090815124541/http://longboredsurfer.com/charts.php?year=
ignored (help) - ↑ U.S. certifications riaa.com (Retrieved 12 Januari 2009)