Kemia kaboni
(Elekezwa kutoka Kemia hai)
Kemia kaboni (pia: Kemia ya kikaboni, Kemia ogania, Kemia mahuluku; kwa Kiingereza organic chemistry) ni tawi la sayansi ya Kemia linalochunguza kampaundi za kikemia zinazojengwa na kaboni[1].
Inaitwa pia kemia ogania kwa sababu miili ya viumbehai wote inafanywa kwa maji na kampaundi ogania (= kampaundi kikaboni).
Moja kati ya tabia za kaboni ni uwezo wake wa kujiunga na elementi nyingi, hivyo kuunda molekuli kubwa. Kwa sasa kuna takriban milioni 40 za miungano ya kikemia.
Mbali na kuelewa michakato ya uhai katika miili ya viumbehai, kemia ya kikaboni imekuwa muhimu pia kwa uchumi, maana vifaa na dutu zinazidi kutengenezwa kwa kutumia kemia hii, kwa mfano madawa, uzalishaji wa nishati (biofueli) na katika fani zote za bioteknolojia.
Marejeo
haririViungo vya nje
haririWikibooks has more on the topic of |
- Organic chemistry for dummies
- Organic Chemistry introduction Ilihifadhiwa 19 Aprili 2015 kwenye Wayback Machine.
- What is organic chemistry?
- Portal site on Organic Chemistry Ilihifadhiwa 16 Machi 2015 kwenye Wayback Machine.
- Organic Chemistry Help! Ilihifadhiwa 3 Februari 2020 kwenye Wayback Machine.
- Organic Chemistry: An Introduction Ilihifadhiwa 8 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.
- MIT.edu, OpenCourseWare: Organic Chemistry I
- HaverFord.edu, Organic Chemistry Lectures, Videos and Text
- Journal of Organic Chemistry (subscription required) (Table of Contents)
- Organic Letters (Pubs.ACS.org, Table of Contents)
- Thime-Connect.com Ilihifadhiwa 24 Januari 2008 kwenye Wayback Machine., Synlett
- Thieme-Connect.com Ilihifadhiwa 19 Januari 2009 kwenye Wayback Machine., Synthesis
- Organic-Chemistry.org, Organic Chemistry Portal - Recent Abstracts and (Name)Reactions
- Orgsyn.org, Organic Chemistry synthesis journal
- Ochem4free.info, Home of a full, online, peer-reviewed organic chemistry text
- CEM.MSU.edu Ilihifadhiwa 29 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine., Virtual Textbook of Organic Chemistry
- Organic Chemistry Resources WorldWide - A collection of Links Ilihifadhiwa 16 Machi 2015 kwenye Wayback Machine.
- Organic.RogerFrost.com, Roger Frost's Organic Chemistry - mechanisms and animation for teaching and learning, typically for ages 15–19
- ChemHelper.com Ilihifadhiwa 3 Februari 2020 kwenye Wayback Machine., Organic chemistry help
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kemia kaboni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |