Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya

(Elekezwa kutoka Kenya Airports Authority)

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya (kwa Kiingereza: Kenya Airports Authority: kifupi: KAA) ni taasisi inayomiliki viwanja tisa vya ndege nchini Kenya. Inahusika pia kutoa vibali kwa viwanja vya ndege vya binafsi.

Kenya Airports Authority
AinaKiserikali
SektaUsafiri
BidhaaHuduma na Shughuli katika Uwanja wa Ndege
Tovutihttp://www.kenyaairports.co.ke

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya ilianzishwa kwa sheria ya bunge katika mwaka wa 1992. Sheria hiyo ya KAA Act, kifungu cha 395, hueleza nguvu na utendaji wa mamlaka.

Mali ya KAA

hariri

Viwanja vikubwa

hariri

Viwanja vidogo

hariri

Angalia pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.