Kenzie MacNeil
Kenzie MacNeil ONS (2 Septemba 1952 - 24 Julai 2021) alikuwa mtunzi wa nyimbo wa Kanada, mwigizaji, mtayarishaji na mkurugenzi katika televisheni, filamu, redio na jukwaa, na mgombea wa zamani wa Chama cha Conservative cha Kanada.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Laura Jean Grant. "Film tax credit wont have reel impact on Cape Breton", The Cape Breton Post, 17 September 2007. Archived from the original on 2 October 2011.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kenzie MacNeil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |