Kesha Rose Sebert

Mwandishi na Muimbaji wa Marekani

Kesha Rose Sebert (ambaye zamani aliitwa Ke$ha; alizaliwa Machi 1, 1987) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani.[1]

Kesha kwenye Tuzo za Muziki za Marekani za 2019
Kesha kwenye Tuzo za Muziki za Marekani za 2019

Mnamo mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 18, Kesha alijiunga na rekodi lebo ya Kemosabe Records. Mafanikio yake makubwa ya kwanza yalianza mwaka 2009 baada ya kushirikishwa na rapa maarufu wa Marekani Flo Rida.

Marejeo hariri

  1. "Kesha | Biography & History". AllMusic (kwa en-us). Iliwekwa mnamo June 25, 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kesha Rose Sebert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.