Kevarrius Hayes

mchezaji wa mpira wa kikapu

Kevarrius Hayes (alizaliwa Machi 1997) ni mchezaji wa Amerika mwenye asili ya Afrika ya kati mwenye taaruma ya mpira wa kikapu aliechezea timu ya Žalgiris Kaunas inayoshiriki katika ligi ya mpira wa kikapu ya Lithuanian (LKL) na ligi ya Euro. Ni mshiriki wa mpira wa kikapu katika timu ya chuo iitwayo Florida Gators. Kimataifa anawakilisha timu ya mpira wa kikapu ya Jamuhuri ya Afrika ya kati.

Hayes akiwa na Cantù mnamo Novemba 2019
Hayes akiwa na Cantù mnamo Novemba 2019

Maisha ya awali na Elimu hariri

Hayes alizaliwa na kukulia katika mji wa Live Oak uliopo Florida na kusoma elimu yake ya sekondari katika shule ya Suwannee. alikua ni raisi wa serikali ya wanafunzi. Aliorozeshwa miongoni mwa wanafunzi 58 wenye mafanikio katika chuo na shirika la ESPN.com baada ya kua mwanafunzi pekee darasani alie cheza mpira wa kikapu katika Chuo cha Florida akiwa kama mwanafunzi bora Sekondari[1]. Jona lake lilikuwemo katika tim mbili za darasa la 5A ya wadogo na wakubwa katika misimu yote ya mchezo[2][3]

Marejeo hariri

  1. Andy Hutchins (2013-06-18). "2015 F Kevarrius Hayes commits to Florida". Alligator Army (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-04. 
  2. Staff Report, Herald-Tribune (2014-04-08). "Class 5A All-State Boys Basketball team". HT Preps (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-04. 
  3. "2014-15 ALL-USA Florida Boys Basketball Team". USA TODAY High School Sports (kwa en-US). 2015-04-16. Iliwekwa mnamo 2022-09-04.