Kevin Behrens

Mchezaji wa chama cha soka cha Ujerumani

Kevin Behrens (alizaliwa 3 Februari 1991)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo

hariri
  1. "Kevin Behrens". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin Behrens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.