Khairi Barki (kwa Kiarabu: خيري باركي; alizaliwa 10 Oktoba 1995) ni mwanasoka wa Algeriaref>"CRB: Khairi Barki".</ref> ambaye anachezea AS Aïn M'lila katika Ligue 2 ya Algeria. [1]

  • Mnamo 2019, Khairi Barki alitia saini mkataba na klabu ya CR Belouizdad. [2]
  • Mnamo 2020, Alitia saini mkataba wa miaka miwili na klabu ya ES Sétif. [3]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khairi Barki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.