Khalifa Salum Suleiman

Khalifa Salum Suleiman (amezaliwa tar. 6 Julai 1959) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunguu kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017