Khamis Yahya Machano
Khamis Yahya Machano ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Chaani kwa miaka 2015 – 2020.
Marejeo
haririMakala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |