Khiara Ilhaan Keating (alizaliwa 27 Juni 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka Uingereza ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Uingereza.[2] Hapo awali amecheza kwa mkopo AFC Flyde na Coventry United.

Keating akichezea Coventry United mnamo 2023

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khiara Keating kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.