Kisekele (pamoja na Kimaligo na Ki!o!ung, pia Ki!kung ya Kaskazini) ni lugha ya Khoisan nchini Namibia na Angola inayozungumzwa na Wasekele. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisekele nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 5630. Pia kuna wasemaji 61,300 nchini Namibia (2006), wengi wao wakimbizi kutoka Angola wakati wa vita nchini pale. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisekele kiko katika kundi la Kikx'a.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisekele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.