Kiönge ni lugha ya Kiandamani nchini Uhindi inayozungumzwa na Waönge visiwani mwa Andaman. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji ya Kiönge ilihesabiwa kuwa watu 94 tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiönge kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.