Kiabidji ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waabidji. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiabidji imehesabiwa kuwa watu 50,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabidji iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabidji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.