Kiabun ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waabun. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiabun imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiabun haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.