Kiadele ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Ghana inayozungumzwa na Waadele. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiadele nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 16,300. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadele iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiadele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.