Kiadnyamathanha
Kiadnyamathanha ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waadnyamathanha kwenye makao ya Nepabunna katika jimbo la South Australia. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiadnyamathanha ilihesabiwa kuwa watu 107, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadnyamathanha kiko katika kundi la Kiyura.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiadnyamathanha kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiadnyamathanha Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiadnyamathanha katika Glottolog
- lugha ya Kiadnyamathanha katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiadnyamathanha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |