Kiadonara
Kiadonara (pia Kisagu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waadonara. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiadonara imehesabiwa kuwa watu 98,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadonara iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiadonara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiadonara Archived 4 Juni 2019 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiadonara katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/adr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiadonara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |