Kiafade ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Waafade. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiafade imehesabiwa kuwa watu 31,000 nchini Nigeria na watu 5000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiafade iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiafade kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.