Kiahom ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi inayozungumzwa na Waahom. Ingawa kuna Waahom milioni nane, wote huzungumza Kiassam na kutumia lugha yao ya asili kwa mambo ya kidini tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiahom iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiahom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.