Kiaimol ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waaimol. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiaimol imehesabiwa kuwa watu 2640. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiaimol iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaimol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.