Kiaiton
Kiaiton ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi inayozungumzwa na Waaiton. Mwaka wa 2006, idadi ya wasemaji wa Kiaiton imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiaiton iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiaiton kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaiton Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiaiton katika Glottolog
- lugha ya Kiaiton kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaiton kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |