Kiaka-Bo ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wabo visiwani mwa Andaman. Msemaji wa mwisho wa Kiaka-Bo aliaga dunia mwaka wa 2010 yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Bo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.