Kiaka-Jeru
Kiaka-Jeru ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wajeru visiwani mwa Andaman. Msemaji wa mwisho wa Kiaka-Jeru aliaga dunia mwaka wa 2009 yaani lugha imetoweka kabisa.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiaka-Jeru kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaka-Jeru Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiaka-Jeru katika Glottolog
- lugha ya Kiaka-Jeru kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Jeru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |