Kiaka-Kede
Kiaka-Kede ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wakede visiwani mwa Andaman. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiaka-Kede tena yaani lugha imetoweka kabisa.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiaka-Kede kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaka-Kede Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiaka-Kede katika Glottolog
- lugha ya Kiaka-Kede kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Kede kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |