Kiaka-Kol ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wakol visiwani mwa Andaman. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiaka-Kol tena yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Kol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.