Kiaka-Kora ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wakora visiwani mwa Andaman. Msemaji wa mwisho wa Kiaka-Kora aliaga dunia mwaka wa 2009 yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Kora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.