Kiakeu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina, Myanmar, Uthai na Laos inayozungumzwa na Waakeu. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiakeu imehesabiwa kuwa watu 10,000 nchini Uchina na 1000 nchini Myanmar. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Laos (1996) na 400 nchini Uthai (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiakeu iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakeu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.