Laos
Laos (kwa Kilao: ລາວ), rasmi kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Laos, ni nchi isiyo na pwani iliyoko katika eneo la Kusini-Mashariki mwa Asia. Inapakana na Uchina upande wa kaskazini, Vietnam upande wa mashariki, Kambodia upande wa kusini, Uthai upande wa magharibi, na Myanmar upande wa kaskazini-magharibi. Kwa idadi ya watu, ambao ni takriban milioni 8, Laos ni nchi ya 103 duniani, na ya 23 barani Asia. Mji mkuu wake ambao pia ni jiji kubwa zaidi ni Vientiane. Laos inajulikana kwa mandhari yake ya milima na misitu, historia ya kifalme, utamaduni tajiri wa Kibuddha, na Mto Mekong unaopita katikati ya nchi.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: ສັນຕິພາບ ເອກະລາດ ປະຊາທິປະໄຕ ເອກະພາບ ວັດຖະນາຖາວອນ Peace, Independence, Democracy, Unity and Prosperity | |||||
Wimbo wa taifa: Pheng Xat Lao | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Vientiane | ||||
Mji mkubwa nchini | Vientiane | ||||
Lugha rasmi | KiLao | ||||
Serikali | Kikomunisti Thongloun Sisoulith (ທອງລຸນ ສີສຸລິດ) Phankham Viphavanh (ພັນຄຳ ວິພາວັນ) | ||||
Uhuru Tarehe |
Kutoka Ufaransa 19 Julai 1949 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
236,800 km² (84) 2% | ||||
Idadi ya watu - 2024 kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
7,953,556 (103) 5,621,000 26.7/km² (177th) | ||||
Fedha | Kip (LAK )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+7) | ||||
Intaneti TLD | .la | ||||
Kodi ya simu | +856
- |
Watu
haririWakazi wengi (53.2%) ni Walao, 11% ni Wakhmu, 9% Wahmong n.k.
Lugha rasmi ni Kilao pamoja na Kifaransa.
Upande wa dini, 66% ni Wabuddha wa madhehebu ya Theravada. 30.7% wanafuata dini za jadi (Satsana Phi) na 1.5% ni Wakristo, wakiwemo kwanza Waprotestanti, halafu Wakatoliki.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Wikimedia Atlas of Laos
- Laos katika Open Directory Project
- Chief of State and Cabinet Members Ilihifadhiwa 17 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine.
- Laos entry at The World Factbook
- Country Profile at BBC News
- Laos Ilihifadhiwa 4 Februari 2009 kwenye Wayback Machine. at UCB Libraries GovPubs
- Laos at Encyclopædia Britannica
- Laos at Tageo
- Specialist
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Laos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |