Kiakha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar, Uchina, Laos na Uthai inayozungumzwa na Waakha. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiakha imehesabiwa kuwa watu 200,000 nchini Myanmar, 240,000 nchini Uchina, 66,100 nchini Laos na 56,600 nchini Uthai. Pia kuna wasemaji 1260 nchini Vietnam (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiakha iko katika kundi la Kichina.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.