Kiakum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waakum. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiakum nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 1400. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakum iko katika kundi la Kijukunoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.