Kibatak-Alas-Kluet
(Elekezwa kutoka Kialas)
Kibatak-Alas-Kluet ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waalas, Wakluet na Wasingkil kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Alas-Kluet imehesabiwa kuwa watu 195,000, yaani Waalas 80,000,Wakluet 50,000 na Wasingkil 65,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Alas-Kluet iko katika kundi la Kibatak.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibatak-Alas-Kluet kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibatak-Alas-Kluet Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibatak-Alas-Kluet katika Glottolog
- lugha ya Kibatak-Alas-Kluet kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Alas-Kluet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |