Kiambelau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waambelau kwenye kisiwa cha Ambelau. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiambelau imehesabiwa kuwa watu 5,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambelau iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambelau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.