Kiambele ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waambele. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiambele imehesabiwa kuwa watu 2600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambele iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.