Kiamdang (pia Kibiltine) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Waamdang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiamdang imehesabiwa kuwa watu 41,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamdang iko katika kundi la Kifur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamdang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.