Kiami (au Kiame) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Waami katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2007, idadi ya wasemaji wa Kiami ilihesabiwa kuwa watu 30 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiami kiko katika kundi la Kiwagaydy.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiami kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.