Northern Territory

Northern Territory ni moja ya majimbo manane ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 244,200 (2016). Mji wake mkuu ni Darwin.

Uluru,Northern Territory
Palipo na doa jekundu ndiyo ukubwa wa eneo la Northern Territory

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Northern Territory kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Majimbo na maeneo ya Australia
 
Australia Kusini | Australia ya Magharibi | Australian Capital Territory | New South Wales | Northern Territory | Queensland | Tasmania | Victoria