Kiamis-Nataoran

Kiamis-Nataoran ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Waamis. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiamis-Nataoran imehesabiwa kuwa wazee watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamis-Nataoran iko katika kundi la Kiformosa-Mashariki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamis-Nataoran kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.