Kiampanang
Kiampanang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waampanang kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiampanang imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiampanang iko katika kundi la Kibarito.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiampanang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiampanang Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiampanang katika Glottolog
- lugha ya Kiampanang kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiampanang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |