Kiamurdak (au Kiamurdag) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Waamurdak katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2007, kulikuwa na msemaji mmoja wa Kiamurdak tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamurdak kiko katika kundi la Kiamaragiki. Wengine hukihesabu kama lugha ya Kiiwaidjan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamurdak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.