Kianakalangu
Kianakalangu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waanakalangu kwenye kisiwa cha Sumba. Idadi ya wasemaji wa Kianakalangu imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianakalangu iko katika kundi la Kisumba-Hawu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kianakalangu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kianakalangu Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kianakalangu katika Glottolog
- lugha ya Kianakalangu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianakalangu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |